What can we help you with ?

Zuku inakupa njia mbalimbali za kulipia huduma yako ikiwemo njia za malipo kwa simu kama M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa na pia kupitia kadi ya Visa. Kujua zaidi jinsi ya kulipia bili yako, bonyeza katika chaguzi tofauti hapo chini.

* Tafadhali kumbuka, Zuku itaboresha taarifa za malipo yaliyofanywa kupitia M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa na Pesapal kila baada ya masaa mawili.

Zuku Satellite

  • Tembelea wakala yoyote wa SELCOM.
  • Mpatie mhudumu namba ya akaunti yako ya Zuku, kiasi cha pesa ungependa kulipia na namba yako ya simu kama ungependa kupata ujumbe kwa simu.
  • Mhudumu atafuata maelekezo ili kulipia akaunti yako ya Zuku.
  • Chukua risiti yako ya malipo kutoka kwa mhudumu kama uthibitisho wa muamala kukamilika.
  • Utapata uthibitisho kupitia ujumbe mfupi katika simu yako.
  • Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya muda wa dakika 15 baada ya kuwa umelipia

 

Zuku Fiber