LIPA KUPITIA NJIA YA SIMUKulipa bili yako, hakikisha unajua namba ya akaunti yako ya Zuku na umepokea ankara yako ya malipo ya hivi karibuni kwani utahitaji hii kulipa bili yako.

Bonyeza muamala kujua zaidi

 • Nenda katika kituo cha MAXMALIPO
 • Onyesha kitambulisho chako cha kupokea huduma za Zuku
 • Taja kifurushi cha huduma za Zuku unachohitaji kulipia na malipo yake
 • Utapatiwa nakala ya risiti ikionyesha kiasi kilicholipwa na namba ya kumbukumbu ya malipo
 • Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya muda wa dakika 15 baada ya kuwa umelipia

 • Tembelea wakala yoyote wa SELCOM.
 • Mpatie mhudumu namba ya akaunti yako ya Zuku, kiasi cha pesa ungependa kulipia na namba yako ya simu kama ungependa kupata ujumbe kwa simu.
 • Mhudumu atafuata maelekezo ili kulipia akaunti yako ya Zuku.
 • Chukua risiti yako ya malipo kutoka kwa mhudumu kama uthibitisho wa muamala kukamilika.
 • Utapata uthibitisho kupitia ujumbe mfupi katika simu yako.
 • Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya muda wa dakika 15 baada ya kuwa umelipia

 • Bonyeza “Pay Now”
 • Ingiza taarifa za akaunti katika fomu kisha bonyeza kuendelea
 • Fuata maelekezo ya malipo kama yanavyoonekana
 • Bonyeza Complete
 • Utapata ujumbe mfupi wa utahibitisho katika simu yako.
 • Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya dakika 15

 • Piga *150*00# kwa kutumia namba ya Vodacom
 • Chagua namba 4 kwa malipo ya M-pesa
 • Chagua namba 3 huduma ya Kampuni
 • Chagua Zuku kwa ajili ya kulip akifurushi cha Tv za Zuku
 • Chagua namba 4 kwa ajili ya Zuku
 • Ingiza anamba ya kumbukumbu (Hii ni namba ya akaunti yako ya Zuku)
 • Ingiza kiasi cha pesa unachotaka kulipia katika shilingi za Kitanzania
 • Ingiza namba yako ya siri ya M-pesa
 • Bonyeza 1 kuthibitisha muamala wako
 • Utapokea uthibitisho kupitia ujumbe kwa njia ya simu
 • Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya dakika 15.

 • Piga namba *150*01# kwa kutumia namba ya Tigo
 • Chagua uchaguzi namba 4 kwa ajili ya kufanya malipo
 • Chagua namba 3 kwa ajili ya Kupata Majina ya Kampuni
 • Chagua namba 4 kwa kupata King’amuzi
 • Kwa Zuku chagua namba 3
 • Chagua namba 1 kwa kuingiza Namba ya Kumbukumbu
 • Ingiza namba ya akaunti yako ya Zuku na pale utakapoambiwa, ingiza namba ya kumbukumbu ya malipo
 • Ingiza kiasi cha pesa unachokusudia kulipia katika shilingi za Kitanzania pale utakapoambiwa, “ Weka Kiasi”
 • Thibitisha taarifa za muamala wako
 • Ingiza namba yako yako ya siri pale utakapoambiwa,”Weka namba ya Siri”, kisha utume
 • Utapokea uthibitisho kwa njia ya ujumbe wa simu
 • Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya muda wa dakika 15 baada ya kuwa umelipia

 • Piga *150*60# kwa kutumia line ya Airtel
 • Chagua namba 5 kwa ajili ya kufanya malipo
 • Chagua 2 kwa ajili ya kuchagua huduma
 • Chagua namba 1 kwa ajili ya kujisajili kwa huduma ya TV
 • Chagua namba 2 kwa Zuku
 • Jaza kiasi cha pesa kwa shilingi za kitanzania
 • Ingiza namba ya kumbukumbu (Hii ni namba ya akaunti yako ya Zuku)
 • Ingiza namba yako ya siri ya Airtel kisa tuma
 • Utapokea ujumbe wa uthibitisho kwa njia ya ujumbe wa simu
 • Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya dakika 15.

 • Piga *150*88#
 • Chagua namba 4 kulipa kwa Halo pesa
 • Chagua namba 4 usaili wa TV
 • Chagua namba 1 Zuku Tv
 • Ingiza namba ya kumbukumbu (Hii ni namba ya akaunti yako ya Zuku)
 • Weka kiasi cha pesa
 • Weka namba ya siri
 • Utapokea uthibitisho wa malipo kutoka halopesa na Zuku Tv
 • Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya dakikika 15

 • Bonyeza *150*20#
 • Chagua namba 5: Malipo
 • Chagua 6: Mengineyo
 • Chagua namba 1: Malipo ya Ving’amuzi
 • Chagua namba 3: Zuku
 • Ingiza kiwango unachotaka kulipa
 • Ingiza namba yako ya akaunti ya Zuku
 • Utapokea ujumbe wa uthibitisho wa malipo kutoka Zantek na Zuku Tv
 • Utapokea matangazo ya zuku ndani ya dakika 15.

 • * Tafadhali kumbuka:Malipo yanatakiwa kufanywa siku tatu(3) za kazi kabla kusaidia taarifa za akaunti yako ya Zuku kufanyiwa uboreshwaji kwa wakati.Mteja atahitajika kutuma nakala ya stakabadhi ya malipo kwa billing@zukufiber.co.keJina la akaunti: Wananchi Group (TZ) LimitedNamba ya akaunti: 0150316013000 TZSJina la Benki kwa malipo ya shilingi (TZS Bank Name): CRDB Bank.Tawi la Benki: Mlimani branch

FOR SUPPORT & SALES ENQUIRIES
Contact us  on
SUPPORT:  
TEL: 0699 990 400 / 0768 984 20
EMAIL: customercare@zukutv.co.tz