LIPA KUPITIA NJIA YA SIMUKulipa bili yako, hakikisha unajua namba ya akaunti yako ya Zuku na umepokea ankara yako ya malipo ya hivi karibuni kwani utahitaji hii kulipa bili yako

  • Piga *150*00# kwa kutumia namba ya Vodacom
  • Chagua chaguo namba 4 kwa malipo ya M-Pesa
  • Chagua namba 3 kwa kuchagua huduma ya kampuni
  • Chagua Zuku kwa ajili ya kulipia kifurushi cha TV za zuku
  • Chagua namba 4 kwa ajili ya Zuku
  • Ingiza namba ya kumbukumbu (Hii ni namba ya akaunti yako)
  • Jaza kiasi cha pesa unachotaka kulipia katika shilingi za Kitanzania
  • Ingiza namba yako ya siri ya M-pesa
  • Bonyeza 1 kuthibitisha muamala wako
  • Utapokea uthibitisho kupitia ujumbe kwa njia ya simu
  • Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya muda wa dakika 15 baada ya kuwa umelipia

  • Piga namba *150*00# kwa namba ya Vodacom
  • Piga namba *150*00# kwa namba ya Vodacom
  • Chagua uchaguzi wa namba 1 kwa ajili ya M-Pesa
  • Chagua namba 4 kwa ajili ya malipo
  • Ingiza namba ya huduma ya Zuku- 220220
  • Ingiza namba yako ya akaunti ya Zuku kwa namna hii: ZukuXXXX ambapo XXXX ni namba yako ya akaunti ya Zuku.
  • Jaza kiasi cha pesa unachokusudia kulipia katika shilingi za Kitanzania
  • Ingiza namba yako ya siri ya M-pesa
  • Bonyeza 1 kuthibitisha muamala ulioufanya
  • Utapokea uthibitisho kupitia ujumbe kwa njia ya simu
  • Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya muda wa dakika 15 baada ya kuwa umelipia

  • Piga namba *150*60# kwa kutumia laini ya Airtel
  • Chagua uchaguzi namba 5 kwa ajili ya kufanya malipo
  • Chagua namba 2 kwa ajili ya kuchagua huduma
  • Chagua namba 1 kwa ajili ya kujisajili kwa huduma ya TV
  • Chagua namba 2 kwa Zuku
  • Jaza kiasi cha pesa katika shilingi za Kitanzania
  • Ingiza namba ya kumbukumbu (Hii ni namba yako ya akaunti ya Zuku)
  • Thibitisha taarifa za muamala wako
  • Ingiza namba yako ya siri ya kisha tuma
  • Utapokea uthibitisho kwa njia ya ujumbe wa simu

  • Piga namba *150*01# kwa kutumia namba ya Tigo
  • Chagua uchaguzi namba 4 kwa ajili ya kufanya malipo
  • Chagua namba 3 kwa ajili ya Kupata Majina ya Kampuni
  • Chagua namba 4 kwa kupata King’amuzi
  • Kwa Zuku chagua namba 3
  • Chagua namba 1 kwa kuingiza Namba ya Kumbukumbu
  • Ingiza namba ya akaunti yako ya Zuku na pale utakapoambiwa, ingiza namba ya kumbukumbu ya malipo
  • Ingiza kiasi cha pesa unachokusudia kulipia katika shilingi za Kitanzania pale utakapoambiwa, “ Weka Kiasi”
  • Thibitisha taarifa za muamala wako
  • Ingiza namba yako yako ya siri pale utakapoambiwa,”Weka namba ya Siri”, kisha utume
  • Utapokea uthibitisho kwa njia ya ujumbe wa simu
  • Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya muda wa dakika 15 baada ya kuwa umelipia

  • Bonyeza ‘Pay Now’ eneo la kulia la tovuti na fuata kiunganishi cha moja kwa moja
  • Ingiza taarifa za akaunti katika fomu kisha bonyeza kuendelea
  • Fuata maelekezo ya malipo kama yanavyoonekana
  • Bonyeza ‘Complete’
  • Utapata ujumbe mfupi wa uthibitisho katika simu yako.
  • Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya muda wa dakika 15 baada ya kuwa umelipia

  • Tembelea wakala yoyote wa SELCOM.
  • Mpatie mhudumu namba ya akaunti yako ya Zuku, kiasi cha pesa ungependa kulipia na namba yako ya simu kama ungependa kupata ujumbe kwa simu.
  • Mhudumu atafuata maelekezo ili kulipia akaunti yako ya Zuku.
  • Chukua risiti yako ya malipo kutoka kwa mhudumu kama uthibitisho wa muamala kukamilika.
  • Utapata uthibitisho kupitia ujumbe mfupi katika simu yako.
  • Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya muda wa dakika 15 baada ya kuwa umelipia

  • Nenda katika kituo cha MAXMALIPO
  • Onyesha kitambulisho chako cha kupokea huduma za Zuku
  • Taja kifurushi cha huduma za Zuku unachohitaji kulipia na malipo yake
  • Utapatiwa nakala ya risiti ikionyesha kiasi kilicholipwa na namba ya kumbukumbu ya malipo
  • Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya muda wa dakika 15 baada ya kuwa umelipia

  • * Tafadhali kumbuka:Malipo yanatakiwa kufanywa siku tatu(3) za kazi kabla kusaidia taarifa za akaunti yako ya Zuku kufanyiwa uboreshwaji kwa wakati.

    Mteja atahitajika kutuma nakala ya stakabadhi ya malipo kwa billing@zukufiber.co.ke

    Jina la akaunti: Wananchi Group (TZ) Limited

    Namba ya akaunti: 0150316013000 TZS

    Jina la Benki kwa malipo ya shilingi (TZS Bank Name): CRDB Bank.

    Tawi la Benki: Mlimani branch

  •  Dial *150*88# –       1.send money2.cash out

    3.buy airtime

    4.pay by halo pesa

    5.show balance

    6.utilities

     

    Select number; 4 –  pay by halo pesa

                                       1.water bill

    2.school fees

    3.pension funds

    4.tv subscription

    Select 4.tv subscription – 1.service provider

                                                  2.LUKU

    1.service provider – 1.Zuku TV

    2.startimes

    3.DSTV

    #back

    Select, reference number ………………. (account number), amount…………, pin…….. Subscriber will receive a confirmation of payment message from Halopesa and Zuku.

     

     

     

FOR SUPPORT & SALES ENQUIRIES
Contact us  on
SUPPORT:  
TEL:0699 990 300, 0764 701 400
EMAIL: support@zukufiber.co.ke