LIPA KUPITIA NJIA YA SIMUKulipa bili yako, hakikisha unajua namba ya akaunti yako ya Zuku na umepokea ankara yako ya malipo ya hivi karibuni kwani utahitaji hii kulipa bili yako.

Bonyeza muamala kujua zaidi

 • Tembelea wakala yoyote wa SELCOM.
 • Mpatie mhudumu namba ya akaunti yako ya Zuku, kiasi cha pesa ungependa kulipia na namba yako ya simu kama ungependa kupata ujumbe kwa simu.
 • Mhudumu atafuata maelekezo ili kulipia akaunti yako ya Zuku.
 • Chukua risiti yako ya malipo kutoka kwa mhudumu kama uthibitisho wa muamala kukamilika.
 • Utapata uthibitisho kupitia ujumbe mfupi katika simu yako.
 • Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya muda wa dakika 10 baada ya kuwa umelipia

 • Bonyeza “Pay Now”
 • Ingiza taarifa za akaunti katika fomu kisha bonyeza kuendelea
 • Fuata maelekezo ya malipo kama yanavyoonekana
 • Bonyeza Complete
 • Utapata ujumbe mfupi wa utahibitisho katika simu yako.
 • Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya dakika 15

 • Piga *150*00# kwa kutumia namba ya Vodacom
 • Chagua namba 4 Lipa kwa M-pesa
 • Chagua namba 4 Weka namba ya Kampuni
 • Weka namba ya kampuni 260077
 • Weka namba ya kumbukumbu ya malipo (akaunti yako ya Zuku)
 • Weka kiasi cha pesa unachotaka kulipia katika shilingi za Kitanzania
 • Weka namba yako ya siri ya M-pesa
 • Bonyeza 1 kuthibitisha muamala wako
 • Utapokea ujumbe wa uthibitisho kwa njia ya simu
 • Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya dakika 10

 • Piga *150*60# kwa kutumia namba ya Airtel
 • Chagua namba 5 Lipia bili
 • Chagua namba 4 Ingiza namba ya biashara
 • Ingiza namba ya biashara 260077
 • Ingiza namba ya kumbukumbu ya malipo (akaunti yako ya Zuku)
 • Ingiza kiasi cha pesa unachotaka kulipia katika shilingi za Kitanzania
 • Ingiza namba yako ya siri ya Airtel Money
 • Thibitisha muamala wako
 • Utapokea ujumbe wa uthibitisho kwa njia ya simu
 • Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya dakika 10

 • Piga *150*60# kwa kutumia namba ya Tigo
 • Chagua namba 4 Lipia bili
 • Chagua namba 3 Ingiza namba ya kampuni
 • Ingiza namba ya kampuni: 260077
 • Ingiza namba ya kumbukumbu ya malipo (akaunti yako ya Zuku)
 • Ingiza kiasi cha pesa unachotaka kulipia katika shilingi za Kitanzania
 • Ingiza namba yako ya siri ya Tigopesa
 • Thibitisha muamala wako
 • Utapokea ujumbe wa uthibitisho kwa njia ya simu
 • Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya dakika 10

* Tafadhali kumbuka:Malipo yanatakiwa kufanywa siku tatu(3) za kazi kabla kusaidia taarifa za akaunti yako ya Zuku kufanyiwa uboreshwaji kwa wakati.Mteja atahitajika kutuma nakala ya stakabadhi ya malipo kwa billing@zukufiber.co.keJina la akaunti: Wananchi Group (TZ) LimitedNamba ya akaunti: 0150316013000 TZSJina la Benki kwa malipo ya shilingi (TZS Bank Name): CRDB Bank.Tawi la Benki: Mlimani branch
FOR SUPPORT & SALES ENQUIRIES
Contact us  on
SUPPORT:  
TEL: 0699 990 400 / 0768 984 20
EMAIL: customercare@zukutv.co.tz