How to Pay- Satellite TV
LIPA KUPITIA NJIA YA SIMUKulipa bili yako, hakikisha unajua namba ya akaunti yako ya Zuku na umepokea ankara yako ya malipo ya hivi karibuni kwani utahitaji hii kulipa bili yako
- Piga *150*00# kwa kutumia namba ya Vodacom
- Chagua chaguo namba 4 kwa malipo ya M-Pesa
- Chagua namba 3 kwa kuchagua huduma ya kampuni
- Chagua Zuku kwa ajili ya kulipia kifurushi cha TV za zuku
- Chagua namba 4 kwa ajili ya Zuku
- Ingiza namba ya kumbukumbu (Hii ni namba ya akaunti yako)
- Jaza kiasi cha pesa unachotaka kulipia katika shilingi za Kitanzania
- Ingiza namba yako ya siri ya M-pesa
- Bonyeza 1 kuthibitisha muamala wako
- Utapokea uthibitisho kupitia ujumbe kwa njia ya simu
- Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya muda wa dakika 15 baada ya kuwa umelipia
- Piga namba *150*00# kwa namba ya Vodacom
- Piga namba *150*00# kwa namba ya Vodacom
- Chagua uchaguzi wa namba 1 kwa ajili ya M-Pesa
- Chagua namba 4 kwa ajili ya malipo
- Ingiza namba ya huduma ya Zuku- 220220
- Ingiza namba yako ya akaunti ya Zuku kwa namna hii: ZukuXXXX ambapo XXXX ni namba yako ya akaunti ya Zuku.
- Jaza kiasi cha pesa unachokusudia kulipia katika shilingi za Kitanzania
- Ingiza namba yako ya siri ya M-pesa
- Bonyeza 1 kuthibitisha muamala ulioufanya
- Utapokea uthibitisho kupitia ujumbe kwa njia ya simu
- Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya muda wa dakika 15 baada ya kuwa umelipia
- Piga namba *150*60# kwa kutumia laini ya Airtel
- Chagua uchaguzi namba 5 kwa ajili ya kufanya malipo
- Chagua namba 2 kwa ajili ya kuchagua huduma
- Chagua namba 1 kwa ajili ya kujisajili kwa huduma ya TV
- Chagua namba 2 kwa Zuku
- Jaza kiasi cha pesa katika shilingi za Kitanzania
- Ingiza namba ya kumbukumbu (Hii ni namba yako ya akaunti ya Zuku)
- Thibitisha taarifa za muamala wako
- Ingiza namba yako ya siri ya kisha tuma
- Utapokea uthibitisho kwa njia ya ujumbe wa simu
- Piga namba *150*01# kwa kutumia namba ya Tigo
- Chagua uchaguzi namba 4 kwa ajili ya kufanya malipo
- Chagua namba 3 kwa ajili ya Kupata Majina ya Kampuni
- Chagua namba 4 kwa kupata King’amuzi
- Kwa Zuku chagua namba 3
- Chagua namba 1 kwa kuingiza Namba ya Kumbukumbu
- Ingiza namba ya akaunti yako ya Zuku na pale utakapoambiwa, ingiza namba ya kumbukumbu ya malipo
- Ingiza kiasi cha pesa unachokusudia kulipia katika shilingi za Kitanzania pale utakapoambiwa, “ Weka Kiasi”
- Thibitisha taarifa za muamala wako
- Ingiza namba yako yako ya siri pale utakapoambiwa,”Weka namba ya Siri”, kisha utume
- Utapokea uthibitisho kwa njia ya ujumbe wa simu
- Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya muda wa dakika 15 baada ya kuwa umelipia
- Bonyeza ‘Pay Now’ eneo la kulia la tovuti na fuata kiunganishi cha moja kwa moja
- Ingiza taarifa za akaunti katika fomu kisha bonyeza kuendelea
- Fuata maelekezo ya malipo kama yanavyoonekana
- Bonyeza ‘Complete’
- Utapata ujumbe mfupi wa uthibitisho katika simu yako.
- Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya muda wa dakika 15 baada ya kuwa umelipia
- Tembelea wakala yoyote wa SELCOM.
- Mpatie mhudumu namba ya akaunti yako ya Zuku, kiasi cha pesa ungependa kulipia na namba yako ya simu kama ungependa kupata ujumbe kwa simu.
- Mhudumu atafuata maelekezo ili kulipia akaunti yako ya Zuku.
- Chukua risiti yako ya malipo kutoka kwa mhudumu kama uthibitisho wa muamala kukamilika.
- Utapata uthibitisho kupitia ujumbe mfupi katika simu yako.
- Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya muda wa dakika 15 baada ya kuwa umelipia
- Nenda katika kituo cha MAXMALIPO
- Onyesha kitambulisho chako cha kupokea huduma za Zuku
- Taja kifurushi cha huduma za Zuku unachohitaji kulipia na malipo yake
- Utapatiwa nakala ya risiti ikionyesha kiasi kilicholipwa na namba ya kumbukumbu ya malipo
- Utapokea matangazo ya Zuku ndani ya muda wa dakika 15 baada ya kuwa umelipia
- * Tafadhali kumbuka:Malipo yanatakiwa kufanywa siku tatu(3) za kazi kabla kusaidia taarifa za akaunti yako ya Zuku kufanyiwa uboreshwaji kwa wakati.
Mteja atahitajika kutuma nakala ya stakabadhi ya malipo kwa billing@zukufiber.co.ke
Jina la akaunti: Wananchi Group (TZ) Limited
Namba ya akaunti: 0150316013000 TZS
Jina la Benki kwa malipo ya shilingi (TZS Bank Name): CRDB Bank.
Tawi la Benki: Mlimani branch
- Dial *150*88# – 1.send money2.cash out
3.buy airtime
4.pay by halo pesa
5.show balance
6.utilities
Select number; 4 – pay by halo pesa
1.water bill
2.school fees
3.pension funds
4.tv subscription
Select 4.tv subscription – 1.service provider
2.LUKU
1.service provider – 1.Zuku TV
2.startimes
3.DSTV
#back
Select, reference number ………………. (account number), amount…………, pin…….. Subscriber will receive a confirmation of payment message from Halopesa and Zuku.
FOR SUPPORT & SALES ENQUIRIES
Contact us on
SUPPORT:
TEL:0699 990 300, 0764 701 400
EMAIL: support@zukufiber.co.ke
SUPPORT:
TEL:0699 990 300, 0764 701 400
EMAIL: support@zukufiber.co.ke